WIMBI LA WATALII WA NJE LAZIDI KUONGEZEKA. Na.Mwandishi Wetu Kazi iliyotukuka ya kutangaza Utalii wa Nchi...
DKT TIZEBA AMALIZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI SINGIDA ATUA TABORA
Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza kwenye kikao kazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida. Picha Zote Na Mathias...
WATU ZAIDI YA 3000 KUPATIWA HUDUMA YA MACHO SIMIYU.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka akiongea na wananchi wa kata ya Ngulyati wilayani Bariadi waliofika kupata huduma ya kupimwa macho na...
NDOA ILIYODUMU KWA DAKIKA 15 TU NA KUACHANA.
Leo May 30, 2018 stori ninayokusogezea leo ni kuhusu ndoa iliyokuwa imefungwa na wapenzi jijini Dubai imegeuka kituko baada ya wanandoa hao...
MUUGUZI MKUU AKUTWA AMEFARIKI DUNIA SENGEREMA.
Muuguzi Mkuu wa Zahanati ya Kijiji na Kata ya Nyakasungwa, Wilayani Sengerema, Mwanza, Grace Mashauri (50) amekutwa amefariki dunia ndani...
MKE AMUUA MUMEWE KAGERA.
Victoria Salvatory (58), mkazi wa kata ya Katoma, Kagera anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe, Salvatory Iteganira (62) kwa k...
ALISHTAKI KANISA KWA KUMPA MASHARTI MAGUMU YA KUFUNGA NDOA.
Aboneka amesema vijana wengi wananyimwa haki yao kikatiba kufunga ndoa Mwanaume mmoja ameshitaki kanisa moja nchini Uganda akipinga kan...
JAMBAZI ANAYETUMIA BUNDUKI FEKI ASAKWA NA POLISI
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limesema siku za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi anayeteka watu na kuwapora kwa kutumia bunduki bandia na ki...
MAKIPA WAWILI WA YANGA,ROSTAND NA KAKOLANYA WAPO NJIANI KUONDOKA
WAKATI zikiwa zimesalia siku 12 tu kufika Juni 6 tarehe ambayo kipa wa Yanga Beno Kakolanya atakuwa anamaliza mkataba wake na ...
WAZAZI WASHINDA KESI YA KUMFUKUZA NYUMBANI KIJANA WAO.
Wazazi wawili mjini New York wameshinda kesi waliyokuwa wakipambana kumfukuza nyumbani kijana wao mwenye umri wa miaka 30 baada y...
MKUU WA MKOA WA SIMIYU AWATAKA TFDA KUWEKA OFISI KILA MKOA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka akifungua rasmi Mafunzo kwa Waandishi wa habari na Wahariri katika Kikao kazi cha Uhamasishaji kuhusu ...
ABIRIA WA BODABODA KUPIGWA PICHA.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya amewataka madereva bodaboda kuwapiga picha abiria wao kabla hawajaanza safari, kwa ajil...
MWANDISHI MATHIAS CANAL APEWA TUZO YA HESHIMA NA ASASI YA WAZALENDO NA MAENDELEO TANZANIA (AWAMATA)
Mwandishi wa habari na mchambuzi wa mambo mbalimbali nchini Tanzania Ndg Mathias Canal (Kushoto) akikabidhiwa tuzo ya cheti cha heshima kwa ...
TUME YA JPM YABAINI MADUDU CCM.
Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu ukiwamo utapeli na usimamizi mbaya ...
WANAHABARI MWANZA NA SHINYANGA WAPEWA MAFUNZO NA TFDA.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini TFDA imeendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali kuhusu usalama, ubora, u...